kim prince msofe
Senior Member
- Feb 27, 2015
- 154
- 44
Power bank inauzwa :
Name: Samsung
Capacity:15000mAh
Price:15000Tsh
Name: Samsung
Capacity:15000mAh
Price:15000Tsh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelewano yapo kama uko seriousHaipungui bei mkuu?
Hujanijibu, ishanunuliwa?Maelewano yapo kama uko serious
UnahitajiKama ni 15,000mAh inamaana simu yangu yenye 3000mah inachaji 5times , je kwa simu yako unachaji Mara ngap
Bado zipo ndugu njoo PM nikupe no yangu imebaki mojaHujanijibu, ishanunuliwa?
UnahitajiiiKama ni 15,000mAh inamaana simu yangu yenye 3000mah inachaji 5times , je kwa simu yako unachaji Mara ngap
Kimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeoPower bank inauzwa :
Name: Samsung
Capacity:15000mAh
Price:15000Tsh
Poa ahsante kwa mtazamo wakoKimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeo
Kuna power bank moja nlinunua muda kidogo inaitwa PINENG (imekuja forged inaitwa PISEN) MAh 20,000 kwa elfu 90...hii kitu ukipata genuine hutajuta.Kimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeo
HayaKuna power bank moja nlinunua muda kidogo inaitwa PINENG (imekuja forged inaitwa PISEN) MAh 20,000 kwa elfu 90...hii kitu ukipata genuine hutajuta.
Hiyo ni sawa kabisaKuna power bank moja nlinunua muda kidogo inaitwa PINENG (imekuja forged inaitwa PISEN) MAh 20,000 kwa elfu 90...hii kitu ukipata genuine hutajuta.
uko sahihi mkuu hyo ni original fake...power bank ya mAh 15000 haiwez uzwa bei hyo...Kimeo icho. Samahani mimi ni mhanga wa p bank feki. Hiyo bei tu inanesha icho ni kimeo. P bank isipoanzia laki mbili na ikawa na mph kubwa icho ni kimeo