DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Watangazaji wa Clouds FM wa kipindi cha Power Breakfast wakifanya maombi baada ya Bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa Serikali ya Tanzania kutokana na madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi haukuwa huru na haki. Waliohusika na ukiukwaji kuwekewa vikwazo
Pia Soma: Bunge la Ulaya lapitisha maazimio 9 kwa Tanzania. Lakata misaada na kutangaza Uchaguzi haukuwa huru na haki. Waliohusika na ukiukwaji kuwekewa vikwazo