PostGE2025 Power Breakfast wakifanya maombi baada ya bunge la Ulaya kusitisha misaada kwa serikali ya Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Maombi ya mwamposa au nawo wameguswa na anko-t
 
Pastor Sam sassali on the 1 & 2. Huyu jamaa inabidi aitikie wito wa kueneza injili. Moja ya akili kubwa iliyobaki Power Breakfast.
 
Watangazi wa leo walikuwa ni kina nani hao walioshusha hayo maombi?
 
Hawa wamekosa kazi.
Na kusikiliza mziki wa bongo flava sio ibada bali ni burudani au ni labda ibada za wapagani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…