Power Breakfast ya clouds mkichukua threads za JF muwe mnatoa appriciationa na sio kwa ubaya

Power Breakfast ya clouds mkichukua threads za JF muwe mnatoa appriciationa na sio kwa ubaya

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Jana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .

Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
Uko Sawa
 
Ni radio ya kitapeli haswa
 
JF inawasiaidia sana watu wengi kuna mada unaweza kuzikuta youtube ukajiuliza ila kwa vile ndio zinatoka huku basi.
Sasa hawa mawazo watatoa wapi zaidi ya kusifia mda wote raisi
Vingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
 
Vingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
Thread ikiletwa kutoka huko huwa inaandilkwa mwishoni chanzo ni kipi. Kwa nini wao wasiseme chanzo ni JF?
Hilo fuvu limefunika kokoto?
 
Ila mostly zinachukuliwa humu na kupelekwa huko kwenye platform zingine
Mbona thread kibao tu naonaga ni duplicate ya mada na hoja za media nyingine mzee? Jf sio kila kitu n hata hawa watu wa jf wanatumia pia mitandao mingine. So mtu mmoja anaweza kufungua mada hiyohiyo social m3dia nyingine

Usisahau kama katika dunia ya sasa knowledge na maarifa mengi sana ya mwanadam source yake ni media
 
Jana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .

Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
nipo nawasikiliza power breakfast
 
identification..unawezakuta mtangazaji wa Power breakfast ni huyo huyo aliyeleta mada hiyo hiyo hapa Jf.
Kwenye kanuni za JF kama hazijabadilishwa ilikuwa inasemwa kuwa, User is responsible for the content he or she posts on the platform, However, JF reserve a right of publishing it or not.

Kwa Kanuni hii, ya kusema Wana haki ya kuruhusu mada yako ionekane ama la maana yake ni kuwa wao ndiyo wamiliki wa mada zinazowekwa hapa( hii ni kwa mujibu wangu kama Mwanasheria wa vichakani)!
 
Nemewasikiliza hapa nikawaza ni wapi nilisoma hiki kitu ndio nikakumbuka ni jamiiforum
 
Back
Top Bottom