Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ndio hapo!Vingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
Kuna watu wanaamini jf ndo ina watu waelewa kuliko mitandao yote duniani. Na hakuna mtu mwenye uelewa kama hatumii jf. Kuna mada kibao humu zinatoka Quora na mbona hatusemiSi ndio hapo!
kwani wadau kua na mawazo au content zinazofanana kuna ubaya wowote gentleman?Jana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
Kweli kabisa, na ni nyingi sana tu.Kuna watu wanaamini jf ndo ina watu waelewa kuliko mitandao yote duniani. Na hakuna mtu mwenye uelewa kama hatumii jf. Kuna mada kibao humu zinatoka Quora na mbona hatusemi
Kuna mada hapa niliiona inaongelewa na hoja zilikuwa duplicated kutoka huko Wasaf fm kwa mpishano wa siku moja tu
Yale machawa hayana kitu, inabidi yawe yanatoa hata shukran kwetu hapa jfJana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Soma pia: Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.