Uko SawaJana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
Ni radio ya kitapeli haswaJana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
Vingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?JF inawasiaidia sana watu wengi kuna mada unaweza kuzikuta youtube ukajiuliza ila kwa vile ndio zinatoka huku basi.
Sasa hawa mawazo watatoa wapi zaidi ya kusifia mda wote raisi
Ila mostly zinachukuliwa humu na kupelekwa huko kwenye platform zingineVingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
Thread ikiletwa kutoka huko huwa inaandilkwa mwishoni chanzo ni kipi. Kwa nini wao wasiseme chanzo ni JF?Vingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
Mbona thread kibao tu naonaga ni duplicate ya mada na hoja za media nyingine mzee? Jf sio kila kitu n hata hawa watu wa jf wanatumia pia mitandao mingine. So mtu mmoja anaweza kufungua mada hiyohiyo social m3dia nyingineIla mostly zinachukuliwa humu na kupelekwa huko kwenye platform zingine
nipo nawasikiliza power breakfastJana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Naona Clouds wamekopi kila kitu Ila wameshindwa kutoa Appreciation yoyote jambo hili sio zuri Sana na najua TV nyingi , Radio Pamoja na Vyuo wamekuwa wakipakua nyuzi za Wadau hapa Ila hawataki kutoa Appreciation.
Kwa mfano leo nimetembea na mkeo uzi teyari.utasema ilitoka hukoVingine vinatoka huko vinakuja hapa hili nalo lisisahaulike. Ina mana waru wa jamii forum ndo watu wenye maarifa na exposure kubwa kuliko watu wengine?
Legal Team ya JF ilifanyie kazi jambo hili. Kama wakikusanya ushahidi usiotiliwa shaka basi watakao kuwa wanatuhumiwa washughulikiwe kwa mujibu wa SheriaJana kuna Mdau alielezea swala la ujiio wa wachina na kuanzisha Migahawa na Car wash .
Kwenye kanuni za JF kama hazijabadilishwa ilikuwa inasemwa kuwa, User is responsible for the content he or she posts on the platform, However, JF reserve a right of publishing it or not.identification..unawezakuta mtangazaji wa Power breakfast ni huyo huyo aliyeleta mada hiyo hiyo hapa Jf.
Kwa mfano leo nimetembea na mkeo uzi teyari.utasema ilitoka huko
Wapi kuna sehemu tusi tulitafuteMatusi hapa sio pahala pake, jf ni chanzo cha maarifa kinachojitegemea?