Power Breakfast ya clouds mkichukua threads za JF muwe mnatoa appriciationa na sio kwa ubaya

Si ndio hapo!
Kuna watu wanaamini jf ndo ina watu waelewa kuliko mitandao yote duniani. Na hakuna mtu mwenye uelewa kama hatumii jf. Kuna mada kibao humu zinatoka Quora na mbona hatusemi

Kuna mada hapa niliiona inaongelewa na hoja zilikuwa duplicated kutoka huko Wasaf fm kwa mpishano wa siku moja tu
 
kwani wadau kua na mawazo au content zinazofanana kuna ubaya wowote gentleman?

si ndio maana baadhi ya nyuzi hua zinaunganishwa humu jukwaani?

wewe unaweza kuona issue mbagala au Dodoma na mimi nikaona the same issue Bunju au mwanza. Wewe ukaripoti JF na mimi nikarepoti radioni, YouTube au kwenye tv.

niapriciate nini sasa hapo gentleman?🐒
 
Kweli kabisa, na ni nyingi sana tu.
 
mleta mada huna hoja..humu JF wengi tunatumia ID fake kwahiyo anayeleta mada humu huwezi kumjua ni nani hivyo sio sahihi kulaumu eti mada za humu zinatumiwa kwengine wakati muhusika wa Jf hujawahi kumjua..na hao unaowalaumu kwa wizi wa mada za JF kumbe ndio member wa hizo ID za jamiiforum unazotaka zipewe appreciation kumbe ni mada yake huyo mtangazaji..mada ukishapost JF haiwi yako peke yako kila mtu yoyote anaweza kuitumia atakavyo popote.na kama ww unataka mada iwe yako na wengine wasiwe na haki kuitumia bure bila ruksa yako basi lazima uwe Verified member mwenye majina yako halisi kama yule Pascal Mayala hapo ndio una haki ya kudai content ni zako.
 
Yale machawa hayana kitu, inabidi yawe yanatoa hata shukran kwetu hapa jf
 
Watu wa jf mnajiona mko mawinguni sana!
 
Kuna radio inaitwa #### wao huchukua Mada za Jamaa mmoja Maarufu Sana hapa JF nadhani mmeshamjua so ingekuwa vzr wakawa wanatoa Appreciation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…