Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
Kaka, nimesikia na kushawishiwa sana kujiunga na hiyo power club. Pamoja na rafiki zangu wengi kujiunga na kusikia wengine wamejoatia mapesa lakini mimi naona kuna tatizo katika hiyo power club, ipo siku watu wengine watalizwa tu. Si unakumbuka ule upatu wa yule Mganda Kakete?. Siamini juu ya pesa za bure ndugu yangu, naamini lile neno "kwajasho utakula"!