Democrasia
Member
- Feb 1, 2008
- 79
- 3
naomba kama kuna yeyote mwenye uelewa kuhusu POWER CLUB, naona imekuwa maarufu sana hapa Arusha, nimeona niulize kabla sijajiunga,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka, nimesikia na kushawishiwa sana kujiunga na hiyo power club. Pamoja na rafiki zangu wengi kujiunga na kusikia wengine wamejoatia mapesa lakini mimi naona kuna tatizo katika hiyo power club, ipo siku watu wengine watalizwa tu. Si unakumbuka ule upatu wa yule Mganda Kakete?. Siamini juu ya pesa za bure ndugu yangu, naamini lile neno "kwajasho utakula"!