Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na mechi kubwa, kuanzia kati Kati kwenda mbele wana mapungufu mengi sana ambayo wanatakiwa wayafanyie kazi kabla awajaenda kwenye michuano mikubwa.
Washambuliaji wao wamempa sifa za bure yule beki wa simba Che malon akawa anacheza anavyotaka, akuna presha yeyote aliyoipata ni kama vile alikuwa likizo, kwa Timu yao hii wasiporekebisha ni mapema Sana wanaaga mashindano!
Yote kwa yote tumeona dk 90 za bonanza sasa macho yetu tunayaelekeza Tanga uko ndio tutaanza kuona picha halisi ya nani mwenye timu bora na nani mwenye kikosi bora, kule panaenda kuchimbika sio mchezo na bahati nzuri kule akuna power dynamo bali kuna wanaume Yanga, Azam na singida tunaweka akiba ya maneno!