Power Dynamos ya Zambia kukutana na Simba mzunguko wa pili. Je, safari ya Simba ndio itaishia hapo?

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Haya wale wale mliowaalika Simba Day ndio watakuwa Washindani wenu CAFCL baada ya kuwaondoa African Sports ya Namibia Kwa faida ya goli la ugenini.

CAF CHAMPIONS LEAGUE
FT: Power Dynamos πŸ‡ΏπŸ‡² 1-0 πŸ‡³πŸ‡¦ African stars
Agg (2-2)

Ni rasmi sasa Power Dynamos ya Zambia wanasonga mbele na watakutana na Simba SC.

My Take
Hii inaweza kuwa Mwanzo na mwisho wa Simba?
 
Tulitamani sn simba muwe imara na kutupa changamoto wana yanga lkn ndio hivyo tena baada ya mechi mbili yani nyumbani na ugenn dhidi ya power dynamo najua hamkani patachafuka hapatakuwa salama tena....

Kuanzia management, benchi la ufundi, wachezaji tutaanza kuona thank u zikifuatana [emoji848]
 
Lolote Lina weza toka, CAFCL kuna matokeo mawili tu, kutoa au Kutolewa.
 
Umeelewa ulichoandika? Simba na yanga wanapeana vp changamoto kwenye CAFCL? Hebu pambana kwanza ufudhu makundi kwanza maana ndio malengo yako makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…