Power Dynamos ya Zambia kukutana na Simba mzunguko wa pili. Je, safari ya Simba ndio itaishia hapo?

Kwanza mara ya mwisho Yanga kuingiza makundi CAFCL ilikuwa lini?
 
Msimu uliyopita katoboa hadi fainali mkuu. Au ww unaishi nchi gani ndugu hata usilojue hili jambo kubwa ambalo Mskolo hawajadhubutu?
Ile ni6shirikisho huku club bingwa alifurushwa mapema Sana
 
Simba kumtoa Power Dynamos ni story ila Power Dynamos kumtoa Simba ni story!
 
Attachments

  • FB_IMG_1685989825969.jpg
    FB_IMG_1685989825969.jpg
    35 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    FB_IMG_1685861984870.jpg
    40.5 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685856901618.jpg
    FB_IMG_1685856901618.jpg
    47 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1685811806971.jpg
    FB_IMG_1685811806971.jpg
    27.6 KB · Views: 3
Msimu uliyopita katoboa hadi fainali mkuu. Au ww unaishi nchi gani ndugu hata usilojue hili jambo kubwa ambalo Mskolo hawajadhubutu?

Kwani Simba hajawahi fika fainali ya shirikisho???

Uliangalia hotuba ya sa100 siku ya bonaza la simba day??
 
Power dynamo labda kama wameifanyia maboresho safu yao ya ushambuliaji ndio wanaweza kuwapa makolo wakati mgumu but kama bado wako vile vile nilivyowashuhudia kwenye bonanza la simba day walivyochapwa goli 2 watakuwa wanakamilisha ratiba tu maana ni kama kitayose iliyochangamka, safu yao ya ushambuliaji ni majanga
Power dynamo ile siku ya bonanza la makolo ilikuq ni kama wanaangali kosi lao.

Kipindi cha kwanza walianza wengine na kipindi cha pili wakaingia wengine kama walivyofanya wananchi. Kile sio kipimo sahihi kwa Dynamo ila kilikua kipimo sahihi kwa makolo maana wao walifanya sub kama mechi ya mashindano vile.
 
Angalia timu ya Namibia iliyowafunga 2-1 kwenye mechi ya kwanza, angalia Namibia kwenye rank za caf iko nafasi ya ngapi, na angalia zambia iko nafasi ya ngapi, lakini kitimu cha Namibia kikawagonga hao power dynamo ambao ndio mabingwa wa zambia na kiwango chao ndio kile, vipi wakikutana na wazee wa pira papatu papatu🤣🤣
 
Tar 15 sio mbali.
 
Power dynamo ile siku ya bonanza la makolo ilikuq ni kama wanaangali kosi lao.

Kipindi cha kwanza walianza wengine na kipindi cha pili wakaingia wengine kama walivyofanya wananchi. Kile sio kipimo sahihi kwa Dynamo ila kilikua kipimo sahihi kwa makolo maana wao walifanya sub kama mechi ya mashindano vile.
Na wakapata matokeo
 
Back
Top Bottom