Power Dynamos ya Zambia kukutana na Simba mzunguko wa pili. Je, safari ya Simba ndio itaishia hapo?

Kwanza mara ya mwisho Yanga kuingiza makundi CAFCL ilikuwa lini?
 
Msimu uliyopita katoboa hadi fainali mkuu. Au ww unaishi nchi gani ndugu hata usilojue hili jambo kubwa ambalo Mskolo hawajadhubutu?
Ile ni6shirikisho huku club bingwa alifurushwa mapema Sana
 
Simba kumtoa Power Dynamos ni story ila Power Dynamos kumtoa Simba ni story!
 
Msimu uliyopita katoboa hadi fainali mkuu. Au ww unaishi nchi gani ndugu hata usilojue hili jambo kubwa ambalo Mskolo hawajadhubutu?
Fainali hiyo Simba alisha hiyo tofauti ni muda tu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1685989825969.jpg
    35 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    74.9 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685861984870.jpg
    40.5 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1685856901618.jpg
    47 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1685811806971.jpg
    27.6 KB · Views: 3
Msimu uliyopita katoboa hadi fainali mkuu. Au ww unaishi nchi gani ndugu hata usilojue hili jambo kubwa ambalo Mskolo hawajadhubutu?

Kwani Simba hajawahi fika fainali ya shirikisho???

Uliangalia hotuba ya sa100 siku ya bonaza la simba day??
 
Power dynamo ile siku ya bonanza la makolo ilikuq ni kama wanaangali kosi lao.

Kipindi cha kwanza walianza wengine na kipindi cha pili wakaingia wengine kama walivyofanya wananchi. Kile sio kipimo sahihi kwa Dynamo ila kilikua kipimo sahihi kwa makolo maana wao walifanya sub kama mechi ya mashindano vile.
 
Angalia timu ya Namibia iliyowafunga 2-1 kwenye mechi ya kwanza, angalia Namibia kwenye rank za caf iko nafasi ya ngapi, na angalia zambia iko nafasi ya ngapi, lakini kitimu cha Namibia kikawagonga hao power dynamo ambao ndio mabingwa wa zambia na kiwango chao ndio kile, vipi wakikutana na wazee wa pira papatu papatu🤣🤣
 
Tar 15 sio mbali.
 
Na wakapata matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…