Smartboy
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 1,111
- 129
Huyu jamaa nimemkumbuka alikuwa ana nguvu za kimiujiza. Yeye mwenyewe aliwahi kufanya mkutano wa injili, mji mdogo wa Sirari Tarime mnamo 2003, kwa wiki 1 hivi. Alitusimulia alikuwa na irizi kibao na kila irizi ina kazi yake. Yale mambo alikuwa anafanya yote yalikuwa changa la macho. Aliamua kuokoka na sasa hivi anahubiri na kuponya watu.
