BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,048
- 1,424
Habari wakuu
Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka mtu anichukulie aende na power of attorney na karatasi ya clearance halafu atakuja nacho Marekani maana sitegemei kurudi leo wala kesho.