Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
Inashangaza (japo ukimsoma Fareed haishangazi sana) kwanini waandishi wa habari wanashindwa kumuuliza RA kuhusu hiyo Power of Attorney!
Njaa ndo inawafanya wasiulize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza (japo ukimsoma Fareed haishangazi sana) kwanini waandishi wa habari wanashindwa kumuuliza RA kuhusu hiyo Power of Attorney!
Yaani hali ilipofika,inabidi tutafute wa kumfunga paka kengele............:sick:Waache wamlipe wakione cha Bin Ali na Mubarak kama fisadi Kikwete hajakimbilia Saudi Arabia kama wenzake:sick:
Sina shaka kuwa tunapoambiwa na CCM kuwa wanatafuta njia ya kufanya malipo yapunguzwe (ili tuache kupiga kelele), ni kwa vile wanajua wazi kuwa RA anaruhusiwa kufanya hivyo kwenye hiyo PoA (power of attorney) yake. Inabidi kuwabana wale wote wanaotaka tulipe angalau kidogo ili watufahamishe wanawezaje kufanya hayo mazingaombwe ikiwa wamiliki wenyewe sio wazalendo???It goes further to give Mr Aziz, the immediate former CCM treasurer and shareholder in the short lived RVR Rail Consortium that brought together Kenya and Uganda railways, the power to "pay, settle, deduct and allow all taxes, rates, charges, deductions, expenses and all other payments and outgoings whatsoever due and payable or to become due and payable for or on account of any property, whether movable or immovable and whether in possession or in action, now or hereafter belonging to us or to which we may become entitled."
However, if a party isn't satisfied with an award, "there are two routes available either to apply to the Tanzanian court to remit the award to the arbitrators for reconsideration of certain issues or to apply to the high court to set aside the Award.
"To apply to set aside an award, it must be that the Award was improperly obtained or that the arbitrators misconducted themselves," reads part of the ruling by the ICC.
Jaji Werema alichosema hakuna rufaa maana yake alikuwa anatuhadaa watanzania?
:clap2:Watanzania aluta continuaaaaaaaaaaaaa:clap2:
Mzee Mwanakijiji and the rest, amini nawaambie RA ni kuwadi tuu, wapo anao anao wakuwadia na mkiwasikia, hamtaamini masikio yenu!.Ndio maana mapendekezo yetu kwenye ile jambo jingine yako wazi kabisa kuhusu Rostam Aziz.
Mzee Mwanakijiji and the rest, amini nawaambie RA ni kuwadi tuu, wapo anao anao wakuwadia na mkiwasikia, hamtaamini masikio yenu!.
ni Boys II Men!.Tujuze basi ni kina nani hao?
Wanasheria nisaidieni hii ATTORNEY-IN-FACT ndio nini tena?
Mr Aziz was appointed Dowans' attorney-in-fact as far back as 2005 "to manage the company's affairs outside the Republic of Costa Rica."
RA kawapanga foleni Viongozi wote wa JUU wa CCM na serikali yake pia Wastaafu, anawapiga FITO kwa ulaini na kila mmoja anasubiri zamu yake ya kupigwa FITO ifike kwa HAMU kuu.
Kelele zetu juu ya DOWANS ni udhia kwao kwani zitawanyima nafasi ya FARAGHA na MUME wao ROSTAM AZIZ.
Dawa ni kuwaondoa wao na Bwana wao wakanywe naye chai Ughaibuni.