Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Kubwajinga, sio kweli kwamba nazipata za ndani maana mimi sio mmoja wao. RA ni kuwadi tuu role yake ni ku act ile sehemu ya pati gazeti strerling wa movie yenyewe halisi ni Boys II Men!.<font size="3"><font color="navy">Pasco, hebu tuhabarishe zaidi maana za ndani ya CCM mara nyingi unakuwa nazo zikiwa bado mbichi.</font></font>
Hii power of attorney (PoA) inayoongelewa hapa ni kiini macho tu. Hizi ni mbinu tu za RA na wenzake kujificha wanapotaka kukamua nchi.
- Hivi ni mmiliki gani wa kampuni (director) anayeweza akakupa nguvu kiasi hicho (kufanya lolote) kwenye miradi yake ya mamilioni ya dolar bila ya yeye kuwapo??
- Kwa nini Tan Gov/ Tanesco hawakuomba wakiwa huko ICC, kuwahoji hao wamiliki kivuli wa Dowans ili kuthibitisha uwepo wao kama wangesisitiza kuwa na wasiwasi na uhalali wao?
- Kwa nini RA habanwi na TAKUKURU kuhakiki au kukanusha kama yeye ndiye mwakilishi au mmiliki wa Dowans au akaelezea mahusiano yao kibiashara na maslahi yake kwenye hayo mahusiano kama ilivyodokezwa kwenye ripoti ya Mwakyembe??
- Hivi inawezekana kweli JK na serikali yake wakawa hawafahamu haya mahusiano ya Dowans na RA au wanatuzuga tu??
Hivi mbona sikusikia jina la Rostam kwenye ile kamati ya akina Mwakyembe.?
From this story Rostam Was on the same Boat with Lowasa what the Hell happent here?
Kelele mingi sana hakuna ACTION live,Let us join CUF the first runup,then join other runup...
Nasahngazwa na kigugumizi cha CCM,serikali,wabunge mpaka magazeti kutaja Rostam kuwa ndie mhusika.....Huyu Rostam ambaye mara nyingi katika post zangu namlinganisha na Pablo Escobar kwa kuwa na nguvu ya kuweza kuiiendesha serikali yetu.
Viongozi wote wanajua lakini swali ni kwa nini wana mlinda hivi? au ni ....
Powerful businessman and ruling party MP for Igunga in Tabora, Rostam Aziz, is to be a beneficiary in the Dowans Tanzania award.
According to the proceedings from the International Court of Arbitration of the International Chamber of Commerce also known as the International Commercial Court (ICC), which recently awarded Dowans Holdings S.A. and Dowans Tanzania $65 million as compensation for breach of contract by the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Mr Aziz was appointed Dowans attorney-in-fact as far back as 2005 to manage the companys affairs outside the Republic of Costa Rica.
According to the resolutions of the Dowans Holdings board of directors, two directors of the company, Bernal Zamora Arce and Noemy del Carmen Cespedes Palma, granted in the name and on behalf of the company, a power of attorney in favour of Mr Aziz.
hataki kujibu... the best answer he hass given to that he has given until now ni huio uwongo wake kuwa ahusiki na DowansInashangaza (japo ukimsoma Fareed haishangazi sana) kwanini waandishi wa habari wanashindwa kumuuliza RA kuhusu hiyo Power of Attorney!
Help....! I want to know how do the serial-killers operate!
Katika moja ya mikutano ya kampeni ya JK alisema wazi kuwa hakuna anayeweza kuinyoshea kidole serikali yake juu ya nia yake ya ku fight rushwa maana tayari kuna kesi mahakamani. Ukipitia kwa makini statement hiyo ni kuwa issue ilkuwa kuonyesha donor community nia ya kupambana na rushwa ili ku win support yao na si kupambana kwa dhati na RUSHWA , maana mapambano yakiwa ya dhati yatayumbisha nchi ( kwa kuhusisha watu mashuhuri)Waziri Ngeleja, mbona jina la RA halikuwepo katika orodha yako ? Mr Ngeleja, with this kind of story surfacing in the public do you have any guts to rebutal it. Where is your credibility as a Senior Public Servant !
Secondly, CCM Central Commitee how possible you could deliberate Dowans in the presence of Mr Azizi.!!!
Last, CCM if your manifesto of election is to fight grand corruption, then which one apart of this.
1. hivi huyu RA ametokea wapi? ==> IRANheshima wakuu
Mimi nina maswali mengi ambayo nayashindwa hata kujijibu mwenyewe hivi huyu RA ametokea wapi? na ilikuwaje Watu wa Igunga wakampa Nafasi ya Kuwawakiisha Bungeni, Kuna wakati fulani Mch. Mtikila alitaka kuongea kitu fulani, sijui imeishia wapi? hivi Hatuwezi kumfukuza Nchini? (Sheria Zinasemaje kwa mtu kama huyu anaeliangamiza Taifa) je ni kweli alikuwepo tangu enzi za utawala wa rais mstaafu BWM? au kuna Nchi inamtumia huyu RA kuitawala TZ yetu? wito UWT mko wapi? historia itawahukumu