Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Erokamano.
NI kweli kabisa,
hakuna kitu kinaboa kama unakua kwenye mahusiano halafu maneno kama haya "ASANTE", "POLE" hayatawali.
Inatia moyo sana na kuongeza upendo endapo mnakua ni watu wa kushukuru kw akila kitu uanchofanyiwa na mpenzi wako. Inaleta hamasa na nguvu sana na moyo kwa kutenda zaidi.
Ukitaka kujua mapenzi yapo kwenye hati hati maneno haya mawili huwa yanakua hayapo kabisa "ASANTE na "POLE"