Power Of Thanks, Asante, Gracias, Danke, Wabeja,Merci............

I have less enemies and more friend smply by using the word 'thanks' whenever appropriate!!:coffee:

Being grateful to people and God makes you see things in a positive way!
 
NI kweli kabisa,

hakuna kitu kinaboa kama unakua kwenye mahusiano halafu maneno kama haya "ASANTE", "POLE" hayatawali.

Inatia moyo sana na kuongeza upendo endapo mnakua ni watu wa kushukuru kw akila kitu uanchofanyiwa na mpenzi wako. Inaleta hamasa na nguvu sana na moyo kwa kutenda zaidi.

Ukitaka kujua mapenzi yapo kwenye hati hati maneno haya mawili huwa yanakua hayapo kabisa "ASANTE na "POLE"
 

Nakubaliana na wewe Mkuu!

Yakikosekana kwenye uhusiano halafu mmoja anayapata kwa wingi huko nje ndo inakuwa mwanzo wa mtu kumsaliti mwenzake.
Atajikuta anavutwa kuelekea yule anayeonyesha kumthamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…