Nimemsikiliza Waziri Mkuu kuhusu power plant, ulazima wa kusafirisha gesi baada ya kuchakachuliwa Madimba, lakini chanzo cha kusafirisha hiyo gesi baada ya kuchakachuliwa ni matumizi ya viwandani au ni kwa ajili ya uzalishaji wa umeme?
Na mtambo au power plant ya kuzalisha umeme litakuwa wapi?
Na kuhusu bandari ya Mtwara na Mtwara corridor ndio vipi? Na plan ya reli Mtwara kwenda Dubai yetu ya Kigoma na S'wanga vipi?
Barabara ya Tunduru-Ruvuma vipi?
Hivi ndio vitu vinavyo weza kuleta ajira na sio hhoja binafsi.
Bado nina wasi wasi na hii Project kutokana na hali halisi ya Bongo land, experience ya NEt Group, IPTL, Richmond ina sababisha kuwepo kwa huo wasi wasi, RITES, EPA nk nk