Power Plant ya kuchakachua gesi Madiba sawa, Je mitambo ya kuzalisha umeme wapi, Dar au Bagamoyo?

Power Plant ya kuchakachua gesi Madiba sawa, Je mitambo ya kuzalisha umeme wapi, Dar au Bagamoyo?

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Nimemsikiliza Waziri Mkuu kuhusu power plant, ulazima wa kusafirisha gesi baada ya kuchakachuliwa Madimba, lakini chanzo cha kusafirisha hiyo gesi baada ya kuchakachuliwa ni matumizi ya viwandani au ni kwa ajili ya uzalishaji wa umeme?

Na mtambo au power plant ya kuzalisha umeme litakuwa wapi?

Na kuhusu bandari ya Mtwara na Mtwara corridor ndio vipi? Na plan ya reli Mtwara kwenda Dubai yetu ya Kigoma na S'wanga vipi?

Barabara ya Tunduru-Ruvuma vipi?

Hivi ndio vitu vinavyo weza kuleta ajira na sio hhoja binafsi.

Bado nina wasi wasi na hii Project kutokana na hali halisi ya Bongo land, experience ya NEt Group, IPTL, Richmond ina sababisha kuwepo kwa huo wasi wasi, RITES, EPA nk nk
 
kuna mtu kauliza how comes umeme kwanda songea unaenda kwa nguzo na ni km 900 zaidi ya kwenda dsmkm 560 , lakini kutumia njia hiyo hiyo kupeleka umeme dar inakuwa sio njia nzuri au tuseme garama ni mara mbili
 
August

Rome was not built in a day.
 
Last edited by a moderator:
Hio ndio style ya upepo. Wenyewe wanasma upepo tu unapita. Ila safari hii ni kipupwe.
 
Rome was not built in a day.[/QUOTE]
vivyo hivyo bagamoyo au mtwara haitajengwa kwa siku moja, lakini ndoto yangu juu ya ruvuma, rukwa, katavi, kigoma, mtwara, lindi, shinyanga, kagera, mara, mwanza, singida, tabora zote ziendelezwe kwa juhudi zao na rasilimali walizo nazo, na sio kila kitu dsm aka bagamoyo kwa sasa. au arusha au kilimanjaro. na kwa mpemba hivyo hivyo
 
Tetesi ni kwamba Pinda ameprove failure,alichokisema leo bungeni sio alichokisema mtwara,amecheza rough soon atapigwa red card!!time will tell and note my words!!!!!
 
vivyo hivyo bagamoyo au mtwara haitajengwa kwa siku moja

kama unatambua hivyo mbona unaulizia vitu kibao kwa wakati mmoja?umeambiwa mtambo wa kuchakachua gesi utakuwa huko huko mtwara na dar itakuja kama bidhaa kwa ajili ya kuuza kwa wateja majumbani,viwandani na kwa makampuni ambayo tayari yana mitambo ya kuzalisha umeme.mitambo mipya ya kuzalisha umeme itajengwa mtwara na somanga fungu.
 
kama unatambua hivyo mbona unaulizia vitu kibao kwa wakati mmoja?umeambiwa mtambo wa kuchakachua gesi utakuwa huko huko mtwara na dar itakuja kama bidhaa kwa ajili ya kuuza kwa wateja majumbani,viwandani na kwa makampuni ambayo tayari yana mitambo ya kuzalisha umeme.mitambo mipya ya kuzalisha umeme itajengwa mtwara na somanga fungu.
hao wenye vijimtambo ni midogo saana kuhitaji Gesi ya kwenye Pipe, hivyo wanaweza kupatiwa kwa Meli, pili kwani kwa sasa wanapataje hiyo gesi ? na waliota kwamba gesi itakuwepo dar na sio mtwara au somanga au kilwa? au walikuwa kwenye baraza la mawaziri mpaka wakajua gesi yaja?
 
power plant ikijengwa kinyerezi wanasouth kwishnei,mbona songas inachakatiwa kilwa lakini manufaa ya mabaki hatuyaoni?
 
Pinda sio Mtu makini hata siku moja ...subiri uone hii ngoma inavyoibuka kwa kasi ya Tsunami
 
ndugu zangu tusidanganywe na mabaki power plant ndio mpango mzima
 
Ideal situation mitambo ya umeme ijengwe Mtwara. Mitambo yote iliyopo Dar including our greatest shame IPTL ihamishwe Mtwara kwa awamu.(tumewahi kuhamisha reli hili halishindikani) Bomba la gesi songo songo litumike ku supply gesi viwandani na kwa matumizi ya magari.
 
Back
Top Bottom