Palyang'ei
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 294
- 194
Ndiyo inawezekana ila unatakiwa uwe na operator mzoefuPower tiller zinafaa eneo la lindi? Kuna eneo limekatwa miti hivyo kuna visiki ila vipo mbalimbali? Je ninaweza kuingiza power tiller nikawa ninakwepa visiki? Kuna majani sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuuliza mnazitumiaje? Namna ya kutumia kunaamua aina ya power tiller inayofaa.Ni tiller gani inafaa kwenye kupalilia Mkonge?
Pia tuletee na mrejesho wa mini tractor kama mdau alivyouliza hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza Alibaba chief,.Natafuta spare za Powertiller ya Korea
Inaitwa DAEDONG, natafuta cylinder head gasket, naomba msaada wa kuipata
Unapatikanana wapi kiongoziBinafsi nna shida na Powertiller Kubota HP 16 Full package ,nnapata wapi na kwa Bei nzuri !?.Tafadhali msaada wenu wakuu.
Unapatikanana wapi kiongozi
corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
Pawa tilla used naweza Pata
MI nataka used na ni Sh ngapi?Ndio zinapatikana kama ukihitaji tuwasiliane
ngo'mbe haigusi kwa powertillerHivi power tiller zinalima kushinda jembe linalikokotwa na ng'ombe?
Mkuu toa mrejeshoNdio zinapatikana kama ukihitaji tuwasiliane
unaweza kufahamu bei na upatikanaji wa nchi hizo za mikono mirefuKama una pesa ya kutosha powertiller nzuri ni Siam kubota ina 14 HP. Kama una mtaji mdogo nunua za kichina ambazo nazo ni long hand na zina 14 HP.
Hizi za mikono mifupi ni zina majembe mazito pia ni nzito mno hata utumiaji lazima kuwa watu zaidi ya mmoja wakati wa ufungaji wa majembe.
Wakati hizi za mikono mirefu ni nyepesi hata majembe yake ni mepesi, mtu mmoja tu anaoperate. Vile vile hizi za mikono mirefu hufanya kazi kwa uharaka zaidi.