Power tiller special thread

Power tiller special thread

Binafsi nna shida na Powertiller Kubota HP 16 Full package ,nnapata wapi na kwa Bei nzuri !?.Tafadhali msaada wenu wakuu.
 
Binafsi nna shida na Powertiller Kubota HP 16 Full package ,nnapata wapi na kwa Bei nzuri !?.Tafadhali msaada wenu wakuu.
Unapatikanana wapi kiongozi

corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Dar es Salaam, Mkuu.
Watafute hawa jamaa wa KISHEN

IMG_20200704_120847.jpg
 
Wadau nisaidieni jinsi ya kurepair rejeter ya powertiller ya Aluminium ikiwa na rubber, kuna mtu aliniambia rubber unaweza kuireplace
IMG_20201108_083126.jpg


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi power tiller zinalima kushinda jembe linalikokotwa na ng'ombe?
 
Kama una pesa ya kutosha powertiller nzuri ni Siam kubota ina 14 HP. Kama una mtaji mdogo nunua za kichina ambazo nazo ni long hand na zina 14 HP.

Hizi za mikono mifupi ni zina majembe mazito pia ni nzito mno hata utumiaji lazima kuwa watu zaidi ya mmoja wakati wa ufungaji wa majembe.

Wakati hizi za mikono mirefu ni nyepesi hata majembe yake ni mepesi, mtu mmoja tu anaoperate. Vile vile hizi za mikono mirefu hufanya kazi kwa uharaka zaidi.
unaweza kufahamu bei na upatikanaji wa nchi hizo za mikono mirefu
 
Back
Top Bottom