Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama anahitaji atamletea tena inauzwa Dar kwa shilingi 2000..Sasa wana Jf hawa kina Pj wameamua kuweka mambo hadharani yaliyotea BBA au?
Mkuu! Naunga hoja mkono.stupid thread,
Kuweka vipi hadharani wakati mambo yalishakuwa hadharani, sema huyo binti ahangaike kunakohusika apate asilimia yake ya mauzo....Si alitaka chai, chai....Leo Asubuhi ktk Clouds FM kipindi chao cha power breakfast..Gerarld anamwambia Pj..umeona ile cd ya xx ya South Africa kuhusu yule kijana wetu yule..Pj kamwambia bado halafu Gerald kamjibu kama anahitaji atamletea tena inauzwa Dar kwa shilingi 2000..Sasa wana Jf hawa kina Pj wameamua kuweka mambo hadharani yaliyotea BBA au?
asilalamike mdomo unaungua au sio...Kuweka vipi hadharani wakati mambo yalishakuwa hadharani, sema huyo binti ahangaike kunakohusika apate asilimia yake ya mauzo....Si alitaka chai, chai....
Ni kweli?Inasemekana hata kibarua chake kimeota mbawa kule EATV, channel 5
kama wamemtema itakuwa powa sasa pumbavu sana huyuInasemekana hata kibarua chake kimeota mbawa kule EATV, channel 5