Memo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 2,157
- 760
tatizo letu kubwa ni kuchukulia kilichofanyika huko bba ni kutendwa, ntausimamia ukweli huu 'hawa walitendana, kwani walikubaliana wote na hapa isionekane kuwa ni aibu kwa kuwa wetu ni mwanamke, mbona mwaka jana tulikuwa tukijisifu kwa alichokifanya mwakilishi wetu wa kiume. Ni vizuri sasa tukatambua kuwa linapokuja suala la 'kulo mbana', msingi mkuu ni kwa jinsi zote na hakuna jinsi shupavu, vinginevyo mngefurahi kama angejisaga au wa mwaka jana angejichua. Badilisheni misimamo juu ya kuudharau utu wa mwanamke.
By the way, hiyo ni reality show na wametoa tahadhari juu ya umri, heshima ni kwa wote
Nimekusoma.......copy that mkuu!!!
Watu wanatoa povu sijui kama kitu gani.........Vidume vimeenda na vimepiga game vikarudi na vikasifiwa.....sasa inakuwaje kwa huyu binti mnajifanya Holier that thou???
CRAP!!