Hapa Gardner alijichanganya tu ,Mama Karen habari nyingine.Gadna alikuwa mvumilivu sana,
Mtizame kwa makini kidogo kisha vuta hisia akianza ubishi anafananaje!!!!
Ni mtizamo wangu na sii lazima ulandane na wako.
Huyu jd labda azamishwe baharini siku 30 ndio atalainika.na hapo ndio ana pesahapo ni editing na makeups, angepiga akiwa natural sasa tungekimbia
We jamaa wa wapi wewe? Anaimba TanzaniaAnaimba wapi huyu dada?
Hongera kwa kuliona hilo,walionaopenda sifia uzuri kuwa ni dili,juzijuzi wamemchambua wastara vilivyo humu.Huyu ndio wife material....ni wachache wenye kulitambua hilo.....
We ndio jamaa umegegeda shem wako na beki 3? Hahaha una maneno ya shobo kama sheila banaHuyo bibi kizee ana F ya shape D ya sura B ya majigambo na A ya kuona mwanaume si lolote si chochote
si unajua bado hajanyonyesha watoto japo amenyonyesha sana vijana na wababaKifua chake c haba,manshallah!
Sauti kama ya Phina..
Ana age well. Looking good Judith
Hata mimiNampendaga huyu dada ila basi tu
Wee! watagombana, kwenye usafiri kuna hitilafu.MTOE MWILI MZIMA TUONE
anaimba kwa kakobe churchAnaimba wapi huyu dada?