Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Oh kwa hiyo kwenye uhusiano wao mkosaji alikuwa Gardner tu?
Pia, hata kunenepa inaweza kuwa ni dalili ya msongo wa mawazo vile vile.
Ni dhana potofu kabisa kuwa ukiwa slim basi una matatizo na ukiongezeka kilo huna matatizo/ msongo.