Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Oh kwa hiyo kwenye uhusiano wao mkosaji alikuwa Gardner tu?

Pia, hata kunenepa inaweza kuwa ni dalili ya msongo wa mawazo vile vile.

Ni dhana potofu kabisa kuwa ukiwa slim basi una matatizo na ukiongezeka kilo huna matatizo/ msongo.
 
Hakuna outsider mwenye uwezo wa kujuwa tatizo halisi la wanandoa, wote tuna mahusiano ni rahisi kuyaongelea ya wenzetu lakini ya kwetu wenyewe kumbe ndio balaa tupu.

Kikubwa tu wanachoshindwa kukitambuwa hawa wanaoitwa celeb walitakiwa wajichanganye na watu tofauti na fani zao kimahusiano.
 
Mpwa kizuri kula na nduguyo, kibaya ndio msukumie jirani, mpwa nakuja sana changa....... Kwa Jimmy kirauli kula mdudu sikuoni online.

haaa Mpwa inakuwaje unakuja hunishtui Mpwa, tule wote hivo vizuri
ngoja nikufate Pm mpwa....
 
Back
Top Bottom