Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

Pozi za 'hatare' za Lady Jaydee

1461130418774-jpg.340886

Nimeipenda hii, hair style pia nzuri
Sema ukweli kuwa hilo pose ndio umelipenda
 
wabongo wanajua kudiss mamaeeee, yani hiki kipaji kingeelekezwa kwenye uzalishaji magufuli angekuwa anaangalia tv tu ikulu!
 
Si bora yeye yupo hivyo na anajikubali kuliko wale wanaofanya mambo ya ajabu penye makali wanaweka(vono)watu wangu wa zamani watanielewa.Ana mapungufu yake kama binadamu lakini la kusema mara ana sura nzito mara mtizame huko chini jamani kama kila mtu angeambiwa leo achague aumbwaje nadhani wengi tungeyakana maumbo na sura zetu.
Huwezi kupewa vyote wapo hao mnaowaona wazuri wanatumika mpaka ila hawana mafanikio ya huyu dada kuna mtu kasema kila mtu ana pigo lake nakubaliana nae.
 
Back
Top Bottom