John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,028
Kupiga picha na ma superstar
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kunywa soda kwa kutumia pembe ya mdomo
kupiga picha na kutuonyesha makalio, hasa yale yaliyo bonyea bonyea (yana manundu)Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
Uko wapi tata nyarusare kuna mtu anakutafuta huku! Ni siku nyingi kirkuu zimepiga mzigo mpaka hasara sioni kwakoKukaa tu siku tatu mfululizo, bila kusoma uzi wa tata nyarusare
Weee ulisikia wapi?ππππππKwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
Napo ni ushamba mtupu,Kupiga picha ndani la lifti vp iyo