Pozi za kishamba

Pozi za kishamba

Kuongoza nchi ya wajinga wakati si mjinga wewe! ni ushamba!

Kuishi uswahilini wakati unafaa Masaki.. ushamba

Kula vya mafuta chips kuku wakati una pressure...

kuwa Maskini wa mali na akili nao pia ni ushamba
 
Kutupia picha fb yenye mandhari ya mchana Huku ukiwatakia watu usiku mwema huo si ndio ushambaa?
 
Back
Top Bottom