Ppf,lapf,nssf and others need to change

Ppf,lapf,nssf and others need to change

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Hawa jamaa wanatukata ela on the monthly basis ili ukija retire ziweze kukusaidia.
Hawa jamaa wakikata ela yetu normally huwa wanainvest sasa that being the case wanapokuja kuturidishia ela zetu kwa nini wasiweke na interest bse wameizungusha kwenye biashara.
Uganda wanatoa 4% kwa watu wao bse wanajua iyo ela wameitumia ktk investment.
Let the year 2010 be a year of changes and creativity!
 
Wakikupa wewe interest wakina Manji na RA watatajirika vipi?
 
Hawa jamaa wanatukata ela on the monthly basis ili ukija retire ziweze kukusaidia.
Hawa jamaa wakikata ela yetu normally huwa wanainvest sasa that being the case wanapokuja kuturidishia ela zetu kwa nini wasiweke na interest bse wameizungusha kwenye biashara.
Uganda wanatoa 4% kwa watu wao bse wanajua iyo ela wameitumia ktk investment.
Let the year 2010 be a year of changes and creativity!

Hilo ni moja, na ninakusifu kwa kuliona na kutoa comment/suggestion.
Lakini kama utarejea nyuma, mimi ni mmoja wa watu waliowalalamikia sana hawa jamaa
[https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/44345-nssf-arusha-sitanyamazia-hili.html]
juu ya huduma mbaya kabisa ya kutoa hata yale madai ya msingi ya watumishi /wastaafu.

Japo wange'sort out huduma yao kwanza, nadhani wangeanza hata kufikiria kuweka riba kwenye hela za wachangiaji!
 
Back
Top Bottom