Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
Wengi hawalijui hili , wana activities nyingi lakini nguvu kazi kidogo mnoTTCL haihitaji mbia, bali inahitaji outsouce kazi zake, kama ambavyo inafanya sasa kwenye ujenzi wa miundombinu yake, (minara na fiber network), basi inaabidi ifanye hivyo hivyo kwenye :
1. Sales & Marketing
Voda, tigo, airtel, halotel vijana kila siku wako njiani wanalipwa kusajili line mpya, yani kila mmoja anataka pata wateja zaidi, hao wote hizo kazi wametoa zifanyww na makampuni mengine na wanalipwa kwa commision.
2. Maintanance ya fiber network na telecom infrasttucture wa outsource kwa huawei, ikiwezekana wauze kabisa minara yao kwa either Tower of Africa (anayemiliki sasa minara ya Tigo) au Minara (Anayemiliki minara ya Airtel). Japo Minara naweza mpa priority kwenye hilo maana ni affordable compared na TOA na Helios.
3. Haya mengine ntawaambia siku nikiwa MD TTCL.
Tatizo tunakwama wapi?TTCL haihitaji mbia, bali inahitaji outsouce kazi zake, kama ambavyo inafanya sasa kwenye ujenzi wa miundombinu yake, (minara na fiber network), basi inaabidi ifanye hivyo hivyo kwenye :
1. Sales & Marketing
Voda, tigo, airtel, halotel vijana kila siku wako njiani wanalipwa kusajili line mpya, yani kila mmoja anataka pata wateja zaidi, hao wote hizo kazi wametoa zifanyww na makampuni mengine na wanalipwa kwa commision.
2. Maintanance ya fiber network na telecom infrasttucture wa outsource kwa huawei, ikiwezekana wauze kabisa minara yao kwa either Tower of Africa (anayemiliki sasa minara ya Tigo) au Minara (Anayemiliki minara ya Airtel). Japo Minara naweza mpa priority kwenye hilo maana ni affordable compared na TOA na Helios.
3. Haya mengine ntawaambia siku nikiwa MD TTCL.
Sahihi kabisaWengi hawalijui hili , wana activities nyingi lakini nguvu kazi kidogo mno
SahihiWengi hawalijui hili , wana activities nyingi lakini nguvu kazi kidogo mno
Hizo hapana kabisaKama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa.
Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia?
Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya Ubia yenye thamani ya Jumla ya Tsh. Trilioni 2.6