Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hatukuijua?2010
View attachment 3152750
Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )
Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.
Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.
Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.
Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.
Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.
David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.
“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.
Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.
View attachment 3152755![]()
PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bu...www.michuzi.co.tz
Kafulila amefanya kazi nzuri ya kuitangaza PPP ILA hakikisheni mikataba inakuwa na to tija kwa TaifaMbona hatukuijua?
HZ ZOTE NI NGONJELA ZA KUELEKEA KWENYE UCHAGUZI HAKUNA KITU NI UJINGA MTUPU,Mabenki yamepandisha riba kiasi cha hatari kwa maendeleo ya wananchi,njooo sasa kwenye Shilingi yetu uone ujinga unaoendelea.Huyu Bwana mdogo Kafulila tumwache aendelee kucheza ngoma asiyojua mdundo wake.Watu sasa hiv hawadanganyiki kipumbavu namna hiyo,nchi imewashinda CCM waiwazi kabisa Alafu anatojea mjibga mmoja kama Kafulila anawaletea watanzania mambo ablakadabla.View attachment 3152750
Kituo cha Ubia nchini kati ya sekta ya umma na sekta binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo maalumu kwa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( TAMISEMI )
Mafunzo hayo ya siku moja yalilenga kuwajengea uwezo Wahesimiwa Wabunge hao wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano ili kutoa picha pana juu ya muundo na majukumu ya PPP - Cetre hapa Tanzania.
Mambo mengine muhimu ambayo yamejadiliwa katika semina hiyo ni pamoja na umuhimu wa kutumia PPP katika kutekeleza Mipango mbalimbali ya Taifa ya Maendeleo ya nchi, muundo wa kisheria na Kitaasisi katika utekelezaji wa mipango ya PPP Tanzania.
Mambo mengine ambayo yalijadiliwa ni pamoja na dhana ya PPP na Orodha ya miradi ya mbalimbali PPP iliyoandaliwa chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini.
Mkurugenzi wa PPPC Tanzania Bw. David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa PPPC inatarajia kuvuta mitaji toka sekta binafsi yenye thamani ya US$9 billion au TZS25 trillioni kwaajili ya Utekelezaji wa miradi midogo ya kati na miradi mikubwa kwa manufaa ya Taifa.
Kwasasa, Tanzania inatekeleza zaidi ya miradi 84 kupitia PPP kwenye nyanja mbalimbali ikiwemo miundombinu , Umeme wa maji pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu.
David Kafulila ameiambia kamati hiyo ya Bunge kuwa miradi iliyo kwenye mtiririko wa PPP iko katika hatua mbalimbali za kiutekelezaji kama Upembuzi yakinifu, hatua ya kuandaa mikataba, mingine iko katika tathimini, Manunuzi na mingine iko katika hatua ya uandaaji wa maandiko ya miradi.
“Miradi muhimu kama barabara za kulipia toka Kibaha-Chalinze US$340millioni sawa na TZS 888bn pamoja na Ujenzi wa barabara za mzunguko kwa Jiji la Dar es salaam ambazo zitafuta kabisa foleni wenye thamani ya US$1 billioni karibu TZS 2.7trilioni,
Miradi hii yote inaendelea vizuri" alisema Mkurugenzi huyo wa PPP Bw David Kafulila.
Faida kuu kwà PPP ni kuifanya Serikali ya nchi husika iweze kutekeleza miradi yake mbalimbali ya maendeleo kwa faida ya Wananchi wake lakini pasina kutumia Kodi wala tozo toka kwa wananchi wake hivyo kupunguza maumivu ya Kodi na kuisaidia Serikali hiyo iweze kutekeleza miradi mbalimbali ambayo tu haiwezi kuvuta au kuvutia wabia wa PPP.
View attachment 3152755![]()
PPPC YAENDESHA MAFUNZO KWA KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KITUO cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimeendesha Mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bu...www.michuzi.co.tz
Hata kama angeijua na kufuatilia kwani kuna jipya,maisha ya watu ni magumu kwelikweli na yanazidi kufanywa magumu na CCM hii ya kidhalimu inayoshinda inateka watu tu kila kukicha.Mzee hukujipa muda tu wa kuifuatilia ila PPP inaweza kuwa mkombozi wa Uchumi wa Taifa letu
Tuliambiwa gesi ya Mtwara ingemaliza tatizo la upungufu wa umeme uliokuwa ukisababisha mgawo mkubwa wa umeme.Tanzania tunahitaji watu makini sio Rasilimali kwani Rasilimali tunazo, karibu zote,
Mkapa alikuja na sera hii ya ubinafshaji tuliona matokeo yake
Nataka kujua hii PPP inatofauti gani na ile ya Mkapa?
Abood pale Morogoro anamajengo yetu yeye anafugia Mbuzi wakati kile kilikuwa ni kiwanda
Kazi nzuri ipi ya Kafulila ,ni mkataba gani ww umewahi kuuona hapa Tanzania wenye nia na maslahi mapana kwa watanzania.upi utaje hapa Alafu rudi utushawishi,PPP ina takribani miaka 10 lkn kinacho sound kwenye masikio yetu ni ubadhilifu tu wa fedha za umma tena kwa mabilioni na msimamizi hayupo.Jua CCM ilipofika haina ubavu tena wa kusimamia mambo ya nchi kwa UADILIFU.Kafulila amefanya kazi nzuri ya kuitangaza PPP ILA hakikisheni mikataba inakuwa na to tija kwa Taifa
Wasiwasi ndio akiliHii ppp inaweza kuwa kichaka Cha ufisadi ndani ya taifa hili,tujipe muda tu
Huwezi kusubiri ppp, ppp ni miradi inayotakiwa itekelezwe na umma kwa kushurikiana na sekta binafsi,(ubia)Sasa Serikali kwanini isijikite tu kwenye PPP tuache kulipa Kodi?
Yes ila PPP ndio sekta ambayo inaweza kutekeleza miradi mingi kwa wakati mmojaHuwezi kusubiri ppp, ppp ni miradi inayotakiwa itekelezwe na umma kwa kushurikiana na sekta binafsi,(ubia)
Mzee Mkapa alijutia kuwapa watu Mali za umma bila kuwatengenezea Sheria ya kuziendeleza ila Samia kwenye hii PPP amelamba dumeMkuu Mia770
Mkapa alifanya Ubinafsishaji lakini Samia anafanya Ubia,
Tofauti ya Ubia na ubinafsi ni kwamba,
Ubinafsishaji umiliki unabadilika
Ubia umiliki haubadiliki
Nikweli lakini inatakiwa wazawa wapewe kipaumbele, tusiwaendekeze raia wa kigeni walio wengi nimatepeli, (smart people), many of them have crooked ideasYes ila PPP ndio sekta ambayo inaweza kutekeleza miradi mingi kwa wakati mmoja
Nadhani sera Iko hivyo,PPP public sector and private partnership.
Nashauri kampuni za wazawa ndiyo zishirikishwe kwenye huo mpanga asilimia ndogo sana ziwe za watu wa nje ya nchi, (foreigners)
utasubiri sana hizo story zakePoroji zipi hizi, Huyu Tumbili nimegundua ni akili kubwa sana na huenda akalipeleka Taifa hili kwenye nchi ya ahadi