PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

Hapa Kuna mambo mazuri ila tatizo ni lugha 😂😂
 
Kwa yaliyowahi kutokea,ni mapema mno kwangu kuamini wazo lolote kutoka kwa hawa wenzetu kwa sasa.Mtu anatoa tumaini asubuhi jioni kilio
 
Kwa yaliyowahi kutokea,ni mapema mno kwangu kuamini wazo lolote kutoka kwa hawa wenzetu kwa sasa.Mtu anatoa tumaini asubuhi jioni kilio
Mimi kwa kiasi Fulani naona PPP inaweza ikatusaidia ila lazima pia itangulize Uzalendo mbele zaidi ya kila kitu
 
Hongera Cde Kafulila
 
Kama Kuna kijana kila anakokwenda anaonesha uwezo wa hali ya juu basi ni huyu David Kafulila
 
Tanzania inahiji vichwa aina ya Kafulila
 
Safi sana Rais Samia Suluhu Hassan
 
Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan
 
Nakupongeza sana Kafulila na Waziri wa fedha Dkt Mwigulu Nchemba
 
Hiii ndo tunaita michakato, hivyo vipengele vitakula nusu ya hiyo pesa inayotarajiwa KUVUTWA Kutoka sekta binafsi.
Mambo mazuri ila monitaring inakuwa nyepesi sana
 
Kafulila anajua sana siasa
 
Siri za nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…