PPPC kuvuta mitaji ya $9bn

Siku Mh. Rais Samia akijua kuwa Kafulila ni mtu wa porojo, mtu wa kucheza na mitandao na kulipa magazeti kutangaza mipango tu ya PPP na hakuna result yoyote tokea amteue, atamfukuza haraka sana.

Kafulila sio mtu wa matokeo chanya, sio mtu wa maendeleo naturally, that is from his origin, yaani kiasili, Kafulila ni wale watu wa data tu na kusifia sifia kwenye mitandao, TV lakini ukimuuliza nipe mradi mmoja tu au uliokamilika kwa PPP tokea ateuliwe utashangaa, kwa muda tokea ateuliwe ingetakiwa aseme kuna miradi labda 5 au 10 na labda 4 imekamilika na iwe miradi mikubwa ya PPP, ila hana.

Kafulila amekuwa mtu wa kuchukua data za IMF mara WB mara other economic platforms zinazo onyesha +ve trend ya uchumi wetu na kuanza kuzitangaza na kusifia, hiyo sio kazi yake kuu, kapotea

Narudia, siku Mh. Rais akijua Kafulila ni mbabaishaji na sio mtu wa matokeo chanya au maendeleo atamtimua haraka sana.
 
Acha mambo yako ya UCHADEMA.

Je, kabla ya Kafulila wewe uliifahamu PPP?

Je, unafahamu kuwa PPP ni kiunganishi tu lakini kazi nzima Iko kwenye Wizara husika?

Je, unafahamu kwa muda mfupi wa Kafulila katekeleza yafuatayo,


1. Bandari
2. Vivuko
3. Kariako Jengo kubwa
4. NHC
5. ...
 
Mkuu kwanini usiandoke kitabu?
Ili iweje ? Umefanya research usomaji wa vitabu Tanzania upo vipi ? Na unapoandika kitabu (factual sio fiction) unajua kwa dunia ya leo ni muda gani kitakuwa valid kabla hakijapitwa na wakati ? Na unadhani interactivity na kitabu kipi kinafikisha ujumbe ? Am just doing my civic duty kujaribu kujibu hoja kila zinapoanzishwa nikielewa fika hata nachosema kitakuwa hakina effect kwa watu walioshaamua (hivyo ni katika kuonyesha upande mwingine wa shilingi ili niweze kujibiwa nione kama am missing something)

Na concerning haya mambo ambayo sio mapya wala mageni unadhani ni nini ambacho ni kipya na hakijulikani ? Na mimi nitaongeza nini ambacho hakijafanywa na kina hawa ?


Vilevile nikuulize kama Kazi ambazo ni nzuri zina wateja na tungeweza kuzifanya wenyewe na kuingizia taasisi pesa ya kuboresha pengine zinapewa Private Sectors (zile mbaya ambazo hazina maslahi / huduma pesa ya kuzifanya zitatoka wapi) ?

 
Unadhani hajui ?

PPPs inaleta loophole ya Serikali kujifanya / kuonyesha inatekeleza kazi bila kuingia kwenye coffers; inaleta mianya ya watu kupiga pesa kwa kupewa tender na kutoa bakshishi; inaleta upenyo wa Serikali kutumia pesa bila limit; yaani ni another avenue yenye loopholes za upigaji; The only people who can say otherwise ni Wananchi ambao kuna uwezekano watakuwa shortchanged; Kwa kulipia Huduma zaidi (hata kama hakuna alternative) na kwa Serikali na Kodi zao kuepuka kufanya huduma muhimu
 
Ngoja tuone
 
Kafulila jembe moja kwa moja
 
Andika kitabu uokoe Taifa lako
 
Andika kitabu uokoe Taifa lako
Achana na hili jambo lenye technicalities nilishaweka bandiko humu ambalo lipo wazi na linamtafuna kila raia kwa sasa kwa watu kuhamasisha Mapishi kwa LPG (ambayo hatuna na tunaagiza) na wakati tuna mbadala ambao ni nafuu (UMEME) lakini bado viongozi wetu wanahamasisha kwa kugawa mitungi na kukataza kuni ili mwananchi aendelee kutafunwa... Andiko ni bure kabisa na linagusa kila mtu ila ndio hivyo...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…