Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Siku Mh. Rais Samia akijua kuwa Kafulila ni mtu wa porojo, mtu wa kucheza na mitandao na kulipa magazeti kutangaza mipango tu ya PPP na hakuna result yoyote tokea amteue, atamfukuza haraka sana.
Kafulila sio mtu wa matokeo chanya, sio mtu wa maendeleo naturally, that is from his origin, yaani kiasili, Kafulila ni wale watu wa data tu na kusifia sifia kwenye mitandao, TV lakini ukimuuliza nipe mradi mmoja tu au uliokamilika kwa PPP tokea ateuliwe utashangaa, kwa muda tokea ateuliwe ingetakiwa aseme kuna miradi labda 5 au 10 na labda 4 imekamilika na iwe miradi mikubwa ya PPP, ila hana.
Kafulila amekuwa mtu wa kuchukua data za IMF mara WB mara other economic platforms zinazo onyesha +ve trend ya uchumi wetu na kuanza kuzitangaza na kusifia, hiyo sio kazi yake kuu, kapotea
Narudia, siku Mh. Rais akijua Kafulila ni mbabaishaji na sio mtu wa matokeo chanya au maendeleo atamtimua haraka sana.