Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis".
Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni nini.
News analysis ni uchambuzi wa habari, kwa kuwaita manguli kuichambua habari
fulani na ina maanisha nini. Kwa Tanzania, TV inayofanya uchambuzi wa habari ni Star TV pekee kipindi chao cha Jicho Letu, Vyombo Vya Habari Vya Tanzania, Havina Uwezo wa Uchambuzi wa Habari, News Analysis-Jicho Letu lakini TV zote, Radio zote kutwa ni uchambuzi wa mpira tuu!.
Moja ya sababu kwanini hatuna news analysis ni kwasababu media yetu, hatuna watangazaji wabobezi
kihivyo wa kutosha.
Kwavile mimi ni mbobezi kihivyo wa kutosha, nimekuwa nawafanyia analysis za kihivyo from time to time.
Analysis ya leo ni kitendo cha Mama kumwangukia mwanae Janu, ila pia nimeikubali Tanga!, Tanga sio mchezo!, kama una jambo lako lolote, akatokea mtu akakuambia akupeleke Tanga, were nenda, hutajutia!, kunaonekana kuna wataalam na watalamuna!, mtu anatumbuliwa once, mtumbuaji anachomoka!, aliyeingia akamrejesha!, akapigwa majungu top down, left, right and center, akapigwa kibao na kufichiwa chakula alale njaa!. Leo Maza kamkumbuka, kamsamehe!, hi sio kawaida!.
Sasa kabla sijasema ya Janu, anzia kwanza hapa
Kuna viburi vingi, kiburi cha kupendwa, kiburi cha urembo, kiburi cha utajiri, kiburi cha usomi, kiburi cha u supper star, kiburi cha madaraka, kiburi cha mamlaka, kiburi cha male chauvanism, kiburi cha feminism, kiburi cha superiority complex etc na viburi vingine kibao ila for the sake of bandiko hili, nitajikita kwenye viburi fulani viwili, kiburi cha pesa, jeuri ya pesa, na kiburi cha madaraka yaani power corrupt.
Kiburi cha pesa au jeuri ya pesa, inaitwa money confidence, mtu akiwa na pesa, tajiri, anajisikia sana akiamini money can buy everything, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote!. Kiongozi ukipenda pesa na kuzungukwa na watu wenye pesa, then, watu wenye pesa watakuambia kufanya chochote na wewe you can't say no! kama Trumpu na Eloni Muski.
Kiburi cha madaraka, mamlaka na power ni kuzisikia unaweza kufanya jambo lolote kwa yeyote na kuona no one is indispensable, hivyo unaweza kumteua yeyote na kumtengua
yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Kwasababu mteuzi anateua at her pleasures pia anatumbua as she please, kuna watu wametenguliwa kwa vikosa vidogo kama yule waziri mchonga vinyago na msemo wake ule wa kinyago ukichonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha, akiita watu vinyago!, si akaja kuteleza na kujikwaa ulimi, akajikuta ameiropoka ile well guarded top secret ya siri ya ushindi wa chama kubwa!, bila kujua kuwa alikuwa anarekodiwa!, kama ilivyo tokea kwa yule andunje wa mjengo!.
By the time anashituka, ngoma ameisha panda na kwenda viral!, ikambidi ajibaraguze kwa kuzuga, kuwa it was a joke!, it was too late!, Maza akaamua kusafisha nyumba kwa kufagia takataka zote! hadi yule waziri kijana kosa lake ni lipi?!.
Kiburi cha madaraka na mamlaka kinamfanya kiongozi kuwa too blind to see, individual leadership talents akiamini you can make anyone to be anything and fit in any post!.
Ni baada ya muda amegundua
kuna watu wamepwaya!, viatu vya Janu, Nepi na Konda Boy bado havijapata watu vikawafiti barabara, hivyo kwa kazi iliyopo mbele yetu, ame realize baadhi ya watu are really good na wamemsaidia, hivyo mzazi amemwangukia mtoto!.
Hivyo soon tutashuhudia cabinet reshuffle, yule diplomat Mzenji atatafutiwa mahali pazuri tuu pa kuwekwa sio pale, pale anarejeshwa Barack Obama wetu, baadaye pia atagusa chama, ukilinganisha uenezi wa Konda Boy na aliyepo sasa ni mbingu na nchi!. Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, lazima twende na good ones!.
What does this mean? Maza is getting better and better!, kufikia October, she'll be the best!, akifika tuu ile tarehe ni mtu ....
unachukua....
unaweka....
.... malizia!.
Big Up Sana Mama!.
Paskali
Rejea nyingine za PPR analysis ni hizi

- January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
- January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!
- Waziri wa Nishati January Makamba afanya historia, Awasilisha Hotuba ya Bajeti yenye QR Code mara ya kwanza kwenye Historia ya Bunge la Tanzania!
- January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
- Tanzania bado tuna tatizo la upangaji vipaumbele vyetu, baada ya Elimu, Afya na kilimo, ilipaswa ije nishati!. Ni aibu na hatari kupikia kuni na mkaa!
Kuna viburi vingi, kiburi cha kupendwa, kiburi cha urembo, kiburi cha utajiri, kiburi cha usomi, kiburi cha u supper star, kiburi cha madaraka, kiburi cha mamlaka, kiburi cha male chauvanism, kiburi cha feminism, kiburi cha superiority complex etc na viburi vingine kibao ila for the sake of bandiko hili, nitajikita kwenye viburi fulani viwili, kiburi cha pesa, jeuri ya pesa, na kiburi cha madaraka yaani power corrupt.
Kiburi cha pesa au jeuri ya pesa, inaitwa money confidence, mtu akiwa na pesa, tajiri, anajisikia sana akiamini money can buy everything, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote!. Kiongozi ukipenda pesa na kuzungukwa na watu wenye pesa, then, watu wenye pesa watakuambia kufanya chochote na wewe you can't say no! kama Trumpu na Eloni Muski.
Kiburi cha madaraka, mamlaka na power ni kuzisikia unaweza kufanya jambo lolote kwa yeyote na kuona no one is indispensable, hivyo unaweza kumteua yeyote na kumtengua
yeyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.
Kwasababu mteuzi anateua at her pleasures pia anatumbua as she please, kuna watu wametenguliwa kwa vikosa vidogo kama yule waziri mchonga vinyago na msemo wake ule wa kinyago ukichonge mwenyewe, hakiwezi kukutisha, akiita watu vinyago!, si akaja kuteleza na kujikwaa ulimi, akajikuta ameiropoka ile well guarded top secret ya siri ya ushindi wa chama kubwa!, bila kujua kuwa alikuwa anarekodiwa!, kama ilivyo tokea kwa yule andunje wa mjengo!.
By the time anashituka, ngoma ameisha panda na kwenda viral!, ikambidi ajibaraguze kwa kuzuga, kuwa it was a joke!, it was too late!, Maza akaamua kusafisha nyumba kwa kufagia takataka zote! hadi yule waziri kijana kosa lake ni lipi?!.
Kiburi cha madaraka na mamlaka kinamfanya kiongozi kuwa too blind to see, individual leadership talents akiamini you can make anyone to be anything and fit in any post!.
Ni baada ya muda amegundua
kuna watu wamepwaya!, viatu vya Janu, Nepi na Konda Boy bado havijapata watu vikawafiti barabara, hivyo kwa kazi iliyopo mbele yetu, ame realize baadhi ya watu are really good na wamemsaidia, hivyo mzazi amemwangukia mtoto!.
Hivyo soon tutashuhudia cabinet reshuffle, yule diplomat Mzenji atatafutiwa mahali pazuri tuu pa kuwekwa sio pale, pale anarejeshwa Barack Obama wetu, baadaye pia atagusa chama, ukilinganisha uenezi wa Konda Boy na aliyepo sasa ni mbingu na nchi!. Kwa vile huu ni mwaka wa uchaguzi, lazima twende na good ones!.
What does this mean? Maza is getting better and better!, kufikia October, she'll be the best!, akifika tuu ile tarehe ni mtu ....
unachukua....
unaweka....
.... malizia!.
Big Up Sana Mama!.
Paskali
Rejea nyingine za PPR analysis ni hizi
- Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
- Psychoanalysis ya Waomba Msamaha Kwa Rais, Makamba Snr is the Next, Membe Will Never for Pride, Kiburi na Jeuri, Kinana Will Never for Integrity
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
- Pascal Mayalla: Tanzania sasa inajenga Mifumo na sio kujenga watu kama enzi za Hayati Magufuli
- Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025
- Pascal Mayalla: Live ndani ya Star tv Karibu tumsikilize
- Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya