Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #41
Nilikusoma comments zako kwenye yale mabandiko yangu mawili, kwa vile ni mwandishi wa habari wa ukweli, wajibu wetu ni kwa jamii, nchi na maslahi ya taifa mbele, hatuandiki kumfurahisha mtu au kuumuudhi mtu, hivyo pole sana kukereka, sisi wengine kalamu zetu zina ncha kali, hivyo baadhi ya maandiko yetu yanachoma kama dose kumdunga mtu sindano, ila yanawaingia!, na baadhi dose ni kali, zimewaingia mpaka wanapata kiwewe na kuanza kuitana kwenye kamati za Bunge, kuhojiana kwasababu tuu mtu umeandika kitu mtu hajakipenda!Kaka yangu Mayalla majuzi umenikoea sana , maandiko yako nimeanza kuyachukia mkuu
P