Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #41
Nilikusoma comments zako kwenye yale mabandiko yangu mawili, kwa vile ni mwandishi wa habari wa ukweli, wajibu wetu ni kwa jamii, nchi na maslahi ya taifa mbele, hatuandiki kumfurahisha mtu au kuumuudhi mtu, hivyo pole sana kukereka, sisi wengine kalamu zetu zina ncha kali, hivyo baadhi ya maandiko yetu yanachoma kama dose kumdunga mtu sindano, ila yanawaingia!, na baadhi dose ni kali, zimewaingia mpaka wanapata kiwewe na kuanza kuitana kwenye kamati za Bunge, kuhojiana kwasababu tuu mtu umeandika kitu mtu hajakipenda!Kaka yangu Mayalla majuzi umenikoea sana , maandiko yako nimeanza kuyachukia mkuu
Mkuu Fazili, umesema vizuri, wewe hujui cha kumpongeza Mama, watu hatufanani, na hakuna ajuaye kila kitu, hivyo kama wewe hujui cha kumpongeza Mama, kisome hicho wanachompongezea wanaojua.Mimi sijui ni nini cha kumpongeza mama
Kwenye hili la uteuzi, wakulaumiwa sio yeye bali ni wasaidizi wake wale jamaa zetu wa vetting, wanamchomekea makorokocho yao! Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaisipokuwa kumlaumu kwa kutokuwa na principles za kufanya maamuzi na kujikuta unateua, unatengua, halafu unateua tena na kutangua tena. Haya mambo sio ya kupongezwa kwa mtu yeyote aliye na ukweli katika matendo yake. Tunapaswa kumlaani mama kwa udhaifu huu mkubwa.
Hili tumelifanyaWaandishi "nguli" kama nyie mlipaswa kuwaelewesha watu vizuri na pia kulisemea kwa kweli yake
Sio kila kumpongeza rais ni kujipendekezaila badala yake mnatumia ujinga juu wa rais kumpongeza na kujipendekeza kwake.
Yes, yuko very right.Trump yupo sahihi sana.