" tumpatie" .. wewe na nani!!!Hapa itabidi na coming election tumpatie Ruto nchi, maana ataikimbiza kwa uchumi na maendeleo.. Kalenjin ni watu wa speed always. Kusema na kutenda.
Kalenjin wako vizuri kuongoza, kama walivyo vizuri kwenye sports.
" tumpatie" .. wewe na nani!!!
View attachment 1564016
" tumpatie" .. wewe na nani!!!
View attachment 1564016
Kwenye raga timu ya Kenya 7s inatajwa kati ya mabingwa duniani, hapa Afrika mpinzani ni SA tu. Timu ya raga 7s kwa kina dada, Kenya Lionesses, ndio mabingwa hapa barani Afrika, hivyo hivyo kwa Malkia Strikers kwenye mpira wa wavu. Harambee Starlets kwenye soka ndio wanawika ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati.Nyie mnachoweza ni mabio tu, mengine hamwezi.
Acha ushoga wewe, ni lazima ututaje tajeIko siku tutakuja kupigwa ban ya hizi mbio maana sio kwa kufunika huku, jameni hadi nimecheka sana.
Itawekwa sheria kwamba hairuhusiwi Wakenya zaidi ya watatu.
Wazee wa ubwabwa, chips mayai na vigodoro haya mambo yalishwashinda, kazi yao kuponda na wivu tu, naona hata huu uzi tayari wameanza kutiririka chuki.
Kwao huko hamna wanaloliweza, hata muziki imebidi waokolewe na Warundi wa Kigoma.
Umesahau Basketball Afrocan Morana ni second runners up in Africa, tunatandikanga Tz bila huruma, double scoresKwenye raga timu ya Kenya 7s inatajwa kati ya mabingwa duniani, hapa Afrika mpinzani ni SA tu. Timu ya raga 7s kwa kina dada, Kenya Lionesses, ndio mabingwa hapa barani Afrika, hivyo hivyo kwa Malkia Strikers kwenye mpira wa wavu. Harambee Starlets kwenye soka ndio wanawika ukanda huu wa Afrika Mashariki na ya Kati. Mpira wa Magongo tupo, Kriketi na Kabaddi pia hadi na Tong Il Mo Doo! π Kwenye dondi wakenya wanashikilia belt kadhaa za kimataifa wakiongozwa na Fatuma Zarika. Hata kwenye soka Harambee Stars inawaongoza kwenye rank za FIFA. Kama kuna nchi ambayo ni 'Sports Powerhouse' ukanda huu ni Kenya, sio nyie vibwengo wengine na miguu yenu miwili miwili ya kushoto. π