xxtycoon Member Joined Jan 3, 2023 Posts 33 Reaction score 67 Feb 26, 2023 #1 Mimi kama shabiki wa Liverpool ningependa kuwaomba ndugu zangu mnavyoweka mikeka yenu msimuue Chelsea [emoji23] akifungwa leo atakuwa na Goal Difference (GD) Negative. So muweke hata awin au adraw msimuue kabisa.
Mimi kama shabiki wa Liverpool ningependa kuwaomba ndugu zangu mnavyoweka mikeka yenu msimuue Chelsea [emoji23] akifungwa leo atakuwa na Goal Difference (GD) Negative. So muweke hata awin au adraw msimuue kabisa.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 26, 2023 #2 Wamfukuze pottet kwanza
xxtycoon Member Joined Jan 3, 2023 Posts 33 Reaction score 67 Feb 26, 2023 Thread starter #3 Half american said: Wamfukuze pottet kwanza Click to expand... Ohoo so unataka na leo walouwe?!
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Feb 26, 2023 #4 xxtycoon said: Ohoo so unataka na leo walouwe?! Click to expand... Hiyo kawaida timu nnayoitakia mafanikio ni arsenal yangu tu
xxtycoon said: Ohoo so unataka na leo walouwe?! Click to expand... Hiyo kawaida timu nnayoitakia mafanikio ni arsenal yangu tu
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 5,276 Reaction score 17,354 Feb 26, 2023 #5 Kwa uingereza Arsenal ni timu ambayo haijawah kupitia hali ngumu kama za hawa ndugu zetu wakina Man u,liverpool na Chelsea Eti timu inakuwa mpaka ya kumi
Kwa uingereza Arsenal ni timu ambayo haijawah kupitia hali ngumu kama za hawa ndugu zetu wakina Man u,liverpool na Chelsea Eti timu inakuwa mpaka ya kumi
xxtycoon Member Joined Jan 3, 2023 Posts 33 Reaction score 67 Feb 26, 2023 Thread starter #6 Wagumu Tunadumu said: Kwa uingereza Arsenal ni timu ambayo haijawah kupitia hali ngumu kama za hawa ndugu zetu wakina Man u,liverpool na Chelsea Eti timu inakuwa mpaka ya kumi Click to expand... [emoji23] Now kwenye jina la Erik ten Hag wanaweka Erik chelsea Hag
Wagumu Tunadumu said: Kwa uingereza Arsenal ni timu ambayo haijawah kupitia hali ngumu kama za hawa ndugu zetu wakina Man u,liverpool na Chelsea Eti timu inakuwa mpaka ya kumi Click to expand... [emoji23] Now kwenye jina la Erik ten Hag wanaweka Erik chelsea Hag