Pray for Chelsea

Pray for Chelsea

xxtycoon

Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
33
Reaction score
67
Mimi kama shabiki wa Liverpool ningependa kuwaomba ndugu zangu mnavyoweka mikeka yenu msimuue Chelsea [emoji23] akifungwa leo atakuwa na Goal Difference (GD) Negative. So muweke hata awin au adraw msimuue kabisa.
 
Kwa uingereza Arsenal ni timu ambayo haijawah kupitia hali ngumu kama za hawa ndugu zetu wakina Man u,liverpool na Chelsea

Eti timu inakuwa mpaka ya kumi
 
Back
Top Bottom