Prayers Request: Teamo and his family

Teamo kumbuka kile kicha cha mtu alikuwa anatembea ufukweni mwa bahari na mungu na alikuwa anaona alama za nyayo zake na za mungu wake.... baada ya muda akaanza kuona myayo za moja tu... Kisha akamuuliza eeeh bwana mbona umenitupa wakati huu wa shida nami nakutumainia wewe.. Bwana akamjibu my Son hizi foot print unazoziona ni za kwangu kwani niliona unataabika sana kwa jua, kiu na safari ndefu nikaamua kukubeba ili tufike wote salama.


Teamo Mungu amewabwba wewe na familia yako hakika mtafika salama kwe uwezo wake..... Tupo nanyi kwa sala na maombi
 
probably the MOST difficult moments in my life..........!
i have never gone through these moments for real
 
Mleta mada, tunaomba utuwekee Updates pale juu kwenye original thread!
 
probably the MOST difficult moments in my life..........!
i have never gone through these moments for real

Teamo hakika imani yako itakuponya amini kuwa Bwana yupo na wewe na atakuvusha katika hili kwama alivyo mvusha Luti na wengine wote
 
probably the MOST difficult moments in my life..........!
i have never gone through these moments for real
Pole sana hommie ndo ukubwa huo!!! vp mambo bado?
 
Teamo and family wishing you all the best, you have our prayers and support.
 
Updates wapenzi nini kimejiri huko Lugalo nina kiu ya kujua wife anaendeleaje?
 
Teamo and family wishing you all the best, you have our prayers and support.

Halafu Nguli masuala ya kukimbia watu kwenye ngazi sio mazuri bahati yako leo nipo kwenye sala na maombi
 
@ Teamo, wishng you all the best,,,,Namtakia mshiki ajifungue salama bila makash kash...I know how it feels having being there..what we can offer now is our prayers and well wishes

Lakini Mungu ni mwema atamjaalia tu ajifungue salama. AMEN
 
mwacheni mungu aitwe mungu wajameni!

hawa wanawake hawa TUWAHESHIMU TU
 
Teamo all together bro....tupate kabinamu kadogo bila shari...
 
Psalm 121
 
Teamo usijli huo ndo ukubwa wenyewe Mungu yuko pamoja nawe atakuongoza katika hili. Mungu ni mwema
 
Kila la kheri Teamo

Mtoto akaribie kwa salama
 
WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!

IT'S SO PAINFUL!

nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…