Prayers Request: Teamo and his family

Prayers Request: Teamo and his family

Hongera TEAMO and family for the baby gal

sasa wakuu inabidi kwamba tuandae mchakamto wa kwenda kumwona mtoto na mama na hivi ni karibu na krismasi!
 
Hongera TEAMO and family for the baby gal

sasa wakuu inabidi kwamba tuandae mchakamto wa kwenda kumwona mtoto na mama na hivi ni karibu na krismasi!
Kamanda

Hii inahitaji kuwa kabla ya mwaka mpya aisee
 
Mungu akubariki Teamo na akupe mtoto mwenye afya njema na kumlinda Mama yake wakati wa uzazi, katika Jina la Yesu Kristo.

Barikiwa na Yesu Kristo aliye hai.
 
teamo this might seem unimportant but its not......... remember to always kiss your baby goodnight - even if she is already asleep..
 
Hongera Teamo & wife. Welcome to the world baby girl!
 
hongera jibaba. kaza buti, gwaride mbele kwa mbele. tumeondoka dar, next stop ni morogoro mjini. all ze best
 
Ten fingers,
Ten toes,
She's laughter and teardrops,
So small and brand new,
And amazingly angelic,
She's sent to bless you.
She's one special Baby,
The best of life's treasure,
And will grant and bless you,
Many hours of great pleasure.
-- Author Unknown

Congrats!
 
Back
Top Bottom