Gosh..WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!
IT'S SO PAINFUL!
nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now
WAKUU,

hamna kitu kinaenda ARIF....!Gosh..
Kitafanyika kitu kweli huko?
Angalia usije ukacalculate vibaya strength za beams za daraja na kulifanya liporomoke!.
mkuu hiyo ni hali ya kawaida tuu! Nimepita huko najua unavyojisikia but Mungu mkubwa na matumaini yote ni kwake!teamo usipate pressuere that happen don't worry everything will be alright
noted college-mate wangu!mkuu hiyo ni hali ya kawaida tuu! Nimepita huko najua unavyojisikia but Mungu mkubwa na matumaini yote ni kwake!
hamna kitu kinaenda ARIF....!
hamna kabisa
Aspilini...acipilini...achplin....asplin...athipilini Shikamoo babuShhhhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiii! Babu is praying............
AMEN!
Aspilini...acipilini...achplin....asplin...athipilini Shikamoo babu
WAKUU,
updates ni kwamba HAKIJAELEWEKA....!to me ni zaidi ya maumivu.....
when i see the process nzima i am getting confused
kwa sasa tunazungumzia masaa 15 ya mtu akiwa labour!
IT'S SO PAINFUL!
nimetoka kidogo nipo kwa mkoloni for now
Hebu njoo huku madhabahuni tuombe. Nletee na ule mshipi wangu
Hebu njoo huku madhabahuni tuombe. Nletee na ule mshipi wangu
Habari yako mkuu.....long time no see...
mungu na amsaidie atajifungua salama tunamuombeanoted college-mate wangu!
Pamoja sana