Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Pre birthday present ya Auntie Ezekiel kwa Wema Sepetu

Una uhakika gani kuwa Aunty ndiye kanunua hilo gari ili ampe, hao ni wasanii usiwafikirie sana, kuna mtu nyuma hapo hakutaka aonekane.
Na kideo chote kile plus kushangilia awe ana mfanyia mtu
 
yani wakuu mnawaamini wasinii du wasanii ni kama wana siasa akikwambia huko nje ni mchana toka nje nenda kahakikishe. wema huyu huyu alijifanya ile nyumba ya makumbusho ni yake kumbe alipewa akae na yule muhasibu wa Air Tanzania ya kibarua kilivyoota nyasi wema akamkimbia jamaa nakumbuka alifulia hadi akawa anauza mishkaki pale mitaa ya leaders ha ha ha ha ikabidi amfukuze wema kwenye ile nyumba akampola na ile harrier ya pink wema akaenda kupanga kunduchi pale uswahilini anakokaa na wale mapunga wakina aggrey
Ile nyumba ya k/nyama mmiliki halali ni DR NGOMA.Na pink harrier alinunuliwa na Haidary Kavira aliyekuwa bf wa Penny
 
Miaka yote uliyokua humu hujajua tu ku upload video
Wadau nimeona Jana Insta kumechafuka. Wema kapewa gari jipya kabisa na Autie Ezekiel zawadi yake ya birthday.

Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kumbe Wema na Auntie wana urafiki wa kujaliana kiasi hiki?

Pia zawadi anazopewaga Wema kwenye birthday ni magari tu. Jamani nani yuko naye karibu amwambie aniuzie moja kama second-hand.

Mimi sijui ninakwama wapi rafiki hata wa kunimwagia maji tu sina loh!

Mwisho ingieni wenyewe Insta mjionee msinidai video wakati sijui hata kuiupload JF.

Baadae leo huko elements kuna birthday party theme ni makitu gani sijui. May be warumi anaweza kutupa jina la theme
 
Back
Top Bottom