19 na masaa ma 4Naskia anaingia twenty mwaka huu
π€£π€£π€£πππ π πππUnamsingiziaa bana wema bado mtoto
πππ
2019 -25= 1994 ....amezaliwa 1994 hivyo mwaka 1996 alikuwa miss Tanzania akiwa na miaka miwili ...safi sana!Wema anatimiza miaka 25 sasa
π π π π π tuna gunduShogaaa mm na ww ni sawa mm hata wa kunimwagia maji sikumuona.
wema na anty ni mtu na mkewe
Ile nyumba ya k/nyama mmiliki halali ni DR NGOMA.Na pink harrier alinunuliwa na Haidary Kavira aliyekuwa bf wa Pennyyani wakuu mnawaamini wasinii du wasanii ni kama wana siasa akikwambia huko nje ni mchana toka nje nenda kahakikishe. wema huyu huyu alijifanya ile nyumba ya makumbusho ni yake kumbe alipewa akae na yule muhasibu wa Air Tanzania ya kibarua kilivyoota nyasi wema akamkimbia jamaa nakumbuka alifulia hadi akawa anauza mishkaki pale mitaa ya leaders ha ha ha ha ikabidi amfukuze wema kwenye ile nyumba akampola na ile harrier ya pink wema akaenda kupanga kunduchi pale uswahilini anakokaa na wale mapunga wakina aggrey
Wadau nimeona Jana Insta kumechafuka. Wema kapewa gari jipya kabisa na Autie Ezekiel zawadi yake ya birthday.
Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kumbe Wema na Auntie wana urafiki wa kujaliana kiasi hiki?
Pia zawadi anazopewaga Wema kwenye birthday ni magari tu. Jamani nani yuko naye karibu amwambie aniuzie moja kama second-hand.
Mimi sijui ninakwama wapi rafiki hata wa kunimwagia maji tu sina loh!
Mwisho ingieni wenyewe Insta mjionee msinidai video wakati sijui hata kuiupload JF.
Baadae leo huko elements kuna birthday party theme ni makitu gani sijui. May be warumi anaweza kutupa jina la theme
Ile nyumba ya k/nyama mmiliki halali ni DR NGOMA.Na pink harrier alinunuliwa na Haidary Kavira aliyekuwa bf wa Penny