Trouble shooter
Member
- Jan 18, 2014
- 79
- 12
Engineering drawing, hisabati & physics
Hayo tu??
Kwa kumbukumbu zangu hayo ni masomo kwa ajili pre entry program for NTA level 4
Mkuu tayari nina certificate level Two ya umeme kutoka VETA kwann nisipelekwe?Utasoma hesabu physics ya adv lakini pia na lugha na computer ila utapelekwa umeme kulingana na ufaulu na si kulingana na matakwa yako
Mkuu tayari nina certificate level Two ya umeme kutoka VETA kwann nisipelekwe?