Pre entry kwa Technical College's

Pre entry kwa Technical College's

Joined
Jan 18, 2014
Posts
79
Reaction score
12
Natarajia kuingia diploma lakini inabidi nianze na pre entry, je ni masomo gani ntaenda kusoma nipo electrical?
 
Utasoma hesabu physics ya adv lakini pia na lugha na computer ila utapelekwa umeme kulingana na ufaulu na si kulingana na matakwa yako
 
Umeme ni mgumu sana haswa wale wanaosoma dit wanalielewa hili inaezekana kwenye coz za engeneering umeme ukaongoza kwa ugumu ikifatiwa na mecha na civil
 
Back
Top Bottom